Skip to main content
Skip to main content

Polisi waimarisha doria kufuatia taharuki ya ardhi Kibiko

  • | Citizen TV
    696 views
    Duration: 6:02
    Hali ya taharuki imeendelea kutanda katika eneo la Kibiko kaunti ya kajiado kabla ya mkutano uliopangwa kufanyika hii leo. Makumi ya maafisa wa usalama wameshika doria eneo hilo huku wakaazi wakidai kuzuiliwa kuingia kwenye eneo la mkutano huo unaojumuisha wawakilishi wa makundi yanayozozana na maafisa wakuu wa serikali.