Skip to main content
Skip to main content

Polisi wakabiliwa na shinikizo kuhusu vifo na mauaji

  • | Citizen TV
    3,415 views
    Duration: 3:32
    Huduma ya Polisi nchini Kenya iko chini ya shinikizo tena. Mashirika mawili ya haki za binadamu , VOCAL Africa na IMLU yametoa ripoti kuhusu vifo ndani ya seli na mauaji ya polisi. Pamoja, ripoti hizi zinaonyesha taswira ya ukosefu wa uwajibikaji, zaidi ya watu 90 wakifariki mwaka huu pekee mikononi mwa polisi. haya yanajiri siku moja tu baada ya inspector jenerali kutoa amri kuwa wakuu wa vituo vya polisi kuwajibishwa iwapo kifo kitatokea katika kituo chake cha polisi.