Skip to main content
Skip to main content

Polisi wakamata washukiwa wanne kufuatia kuungua kwa watoto kanisani Bondo

  • | Citizen TV
    10,408 views
    Duration: 2:36
    Polisi wamewakamata washukiwa wanne kufuatia tukio lililowaacha watoto wanne wakiwa wameungua katika kanisa la St. Abraham Israel Assemblies of God, kaunti ndogo ya Bondo Jumapili iliyopita.