Skip to main content
Skip to main content

Polisi wakamata washukiwa wawili na mihadarati yenye thamani ya Sh117 milioni

  • | Citizen TV
    2,783 views
    Duration: 2:53
    Maafisa wa polisi mjini Mombasa wamewakamata washukiwa wawili wa ulanguzi wa dawa za kulevya zenye thamani ya shilingi milioni 117. Mmoja wa washukiwa alikamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Moi akiwa anaelekea Dubai. Kamanda wa Polisi wa Pwani Ali Nuno amesema mihadarati ya thamani ya zaidi ya shilingi milioni 151 imezuiliwa katika kipindi cha miezi mitatu, huku washukiwa 27 wakikamatwa.