Skip to main content
Skip to main content

Polisi wakamilisha uchunguzi wa kisayansi katika kesi ya mauaji ya mwanafunzi wa KMTC Sheila Chebet

  • | NTV Video
    1,041 views
    Duration: 1:05
    Polisi wamekamilisha uchambuzi wa uchunguzi wa kisayansi katika kesi ya mauaji ya mwanafunzi wa Chuo cha Mafunzo ya Tiba cha Kenya (KMTC) tawi la Nyeri, Sheila Chebet, mwenye umri wa miaka 20, aliyeuawa mjini Karatina mnamo Machi 29, 2026. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya