- 1,782 viewsDuration: 2:49Maafisa wa polisi wamekashifiwa kwa kumdhulumu na kumdhalilisha mwanaharakati mmoja mwenye ulemavu kwenye maandamano ya Alhamisi huko Nakuru. Maafisa hao walionekana wakimpokonya mtu huyo mikongojo anayotumia kutembea na kumwangusha chini, kisha kumvuruta na kumtupa kwenye gari la polisi alipokuwa akiandamana. Mtu huyo alifikishwa mahakamani leo na baadaye kuachiliwa.