- 3,890 viewsDuration: 7:08Mtazamaji, Idara ya Polisi leo inawekwa kwenye mizani baada ya baadhi ya maafisa wa polisi kulalamikia ukosefu wa umeme na uhaba wa maji katika vituo vya polisi jijini Nairobi kwa miezi kadhaa. Maafisa hao wanalazimika kuishi gizani huku wakikosa maji. Hali hiyo, inayodaiwa kusababishwa na bili kubwa ambazo hazijalipwa, sasa inatishia si tu utoaji wa huduma bali pia hali ya maisha ya maafisa wa polisi na familia zao.