Skip to main content
Skip to main content

Polisi wamsaka afisa wa polisi kwa tuhuma za kumdhalilisha mwanafunzi

  • | Citizen TV
    6,043 views
    Duration: 1:02
    Polisi mjini Nyeri, wamethitisha kuwa wanamsaka afisa mwenzao aliyekuwa akihudumu kituo cha Mweiga, kwa tuhuma za kumnajisi na kumpachika mimba mwanafunzi wa gredi ya nane