Skip to main content
Skip to main content

Polisi wamsaka dereva wa gari la Safi Line baada ya kudaiwa kumjeruhi abiria kwa kisu

  • | Citizen TV
    2,585 views
    Duration: 3:23
    Maafisa wa polisi katika kituo cha polisi cha mbale wamsaka dereva wa gari la abiria la kampuni ya Safi Line baada ya kudaiwa kumjeruhi vibaya kwa kisu msichana mwenye umri wa miaka 19. Yadaiwa kuwa dereva huyo amjeruhi Sylvia Moraa na kisha kumtupa kichakani katika eneo la mbale. Sylvia alikuwa akielekea Busia ila gari aliloabiri likaelekezwa Kakamega.