Skip to main content
Skip to main content

Polisi wamsaka mwanamke anayedaiwa kumuua mumewe Ikolomani kaunti ya Kakamaega

  • | Citizen TV
    1,638 views
    Duration: 2:00
    Maafisa wa polisi eneo bunge la Ikolomani kaunti ya Kakamaega wamsaka mama wa miaka 59 kwa tuhuma za kumkatakata na kumuua mumewe wa miaka 62 kutokana na mzozo wa maziwa.