Skip to main content
Skip to main content

Polisi wamuua kwa kumpiga risasi mshukiwa wa ujambazi Laikipia

  • | Citizen TV
    3,536 views
    Duration: 1:03
    Polisi wamemuua mshukiwa wa ujambazi na kumkamata mwingine katika Mtaa wa Mugambi, Nanyuki, Kaunti ya Laikipia. Kulingana na OCPD wa Laikipia Mashariki Daniel Kitavi, washukiwa wanne wenye silaha walikuwa wakiwavamia wananchi, na walipokutana na polisi walifyatua risasi wakijaribu kutoroka. Polisi walipata bastola, risasi mbili, pesa na vitambulisho kadhaa.