Skip to main content
Skip to main content

Polisi wanasa pombe haramu na vibandiko vya KRA Belgut katika Kaunti ya Kericho

  • | Citizen TV
    738 views
    Duration: 1:28
    Maafisa wa usalama katika Kaunti ya Kericho wamkamata mshukiwa wa kuuza pombe haramu na kunasa vileo katika Kijiji cha Kapchereren, eneo la Kipsolu, Kaunti Ndogo ya Belgut.