- 7,624 viewsDuration: 2:51Julai 7 mwaka wa 1990... ilikuwa siku ambapo viongozi wa kisiasa walipanga mkutano wa hadhara kushinikiza uchaguzi huru na kuelekeza taifa kwa siasa za vyama vingi. Japo viongozi hao kama Kenneth Matiba na Charles Rubia walikamatwa siku chache kabla, wananchi walifurika jijini Nairobi na miji mengine wakilalamikia dhuluma za serikali. Takriban watu 20 waliuawa na zaidi ya 1000 walikamatwa.