Skip to main content
Skip to main content

Polisi watumia Nyati kushika doria

  • | BBC Swahili
    22,601 views
    Duration: 1:03
    Polisi wa kupambana na ghasia huku kwetu huwa na Farasi, Lakini katika kisiwa cha Marajó nchini Brazil, kuna usafiri wa kipekee kabisa: wenyeji hutumia mafahali wa nyati kama usafiri endelevu wa kila siku. Na wakati huo huo, upande wa pili wa ghuba huko Belém, viongozi na wanaharakati wanakutana kwa mkutano wa mazingira wa COP30. - - #bbcswahili #cop30 #mazingira Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw