- 9,458 viewsDuration: 3:04Jamaa ya familia na mwandani wa karibu wa gavana wa kaunti ya Trans Nzoia George Natembeya kwa jina Desmond Shivachi ajisalimisha kwa polisi kuandikisha taarifa baada ya zaidi ya maafisa hamsini kuvamia boma lake usiku wa Jumatano katika oparesheni iliyozua maswali na taharuki miongoni mwa wakazi.