Skip to main content
Skip to main content

PS Omollo aahidi usalama kwa mkutano wa Linda Mwananchi Homa Bay

  • | Citizen TV
    3,754 views
    Duration: 2:27
    Katibu Mkuu katika Wizara ya Usalama, Raymond Omollo, amesisitiza kuwa muungano wa Linda Mwananchi utapewa ulinzi wakati wa mkutano wao wa Jumapili huko Homa Bay. Omollo amesema Linda Mwananchi una haki ya kuzuru eneo lolote na kuwaonya wahuni dhidi ya kuvuruga mkutano huo.