- 12,214 viewsDuration: 44sMwanamuziki Rachael Wandetto, aliyechomwa kwa kuwa na mchoro wa sura ya rais William Ruto begani ameaga dunia alipokuwa akitibiwa katika Hospitali ya rufaa ya Kenyatta Waziri wa Usalama, Kipchumba Murkomen, alithibitisha kifo cha mwanamuziki huyo akisema Idara ya Upelelezi inaendesha uchunguzi kubaini waliotekeleza kisa hicho. Rais Ruto pia kwenye ukurasa wake wa X ameahidi haki kwa familia ya Rachael akiagiza waliohusika kukamatwa na kuchukuliwa hatua kali. haya yanajiri huku ripoti za upelelezi zikonyesha kuwa polisi wamemuhoji mumewe marehemu kwenye uchunguzi wa tukio hili.