Skip to main content
Skip to main content

Raia wawili wa Italia waachiliwa kwa dhamana ya KSh 4 milioni kila mmoja Malindi

  • | Citizen TV
    769 views
    Duration: 1:02
    Raia wawili wa Italia wanaokabiliwa na kesi ya ulaghai mjini Malindi wameachiliwa kwa dhamana ya KSh 4 milioni kila mmoja. Wawili hao wanadaiwa kuwalaghai wanunuzi wa nyumba kiasi cha KSh 20 milioni.