Skip to main content
Skip to main content

Rais aidhinisha mswada wa marekebisho ya sheria ya Benki kuu ya Kenya, 2006

  • | KBC Video
    184 views
    Duration: 2:09
    UDHIBITI KIFEDHA Benki kuu ya kenya itafanyiwa marekebisho yatakayoipa uwezo zaidi wa kuthibiti sekta ya usimamizi wa mifumo ya kifedha ya nchi hii. Mswada wa marekebisho ya sheria ya Benki kuu ya Kenya wa mwaka 2006 uliotiwa saini leo asubuhi na Rais William Ruto pia unaipa benki hiyo uwezo wa kuthibiti bishara ya vito vya thamani kama vile dhahabu na fedha. Rais Ruto alisema sheria hiyo mpya imeleta marekebisho yanayokusudiwa kuimarisha uwezo wa benki Kuu wa kulinda uthabiti wa kifedha wa nchi hii. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive