Skip to main content
Skip to main content

Rais atia saini mswada wa hazina ya utajiri wa taifa wa 2026

  • | KBC Video
    44 views
    SHERIA YA UTAJIRI WA TAIFA Mswada wa hazina ya utajiri wa taifa wa mwaka wa 2026 sasa umekuwa sheria baada ya Rais William Ruto kuutia saini hivi leo. Sheria hiyo muhimu inaanzisha mfumo wa kisheria wa kudumu ambao ni wa kwanza humu nchini, utakaohakikisha mapato kutoka rasilimali za kiasili yanahifadhiwa kwa uangalifu, yanawekezwa kwa kitaalamu na kugawanywa kwa usawa kwa vizazi mbalimbali. Sheria hiyo itafanya kazi chini ya hazina tatu kuu, ikiwemo hazina ya vizazi vijavyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive