Skip to main content
Skip to main content

Rais Museveni achukua hatua baada ya ajali kuua watu 46. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    33,560 views
    Duration: 28:10
    Polisi nchini Uganda wamethibitisha vifo vya watu 46 huku wengine wengi wakipokea matibabu kufuatia ajali ya barabarani usiku wa kuamkia leo. Taarifa za awali zilisema idadi hiyo huenda ikaongezeka. Rais Yoweri Museveni amewaomba wanaotumia barabara hasa madereva wa magari kuwa waangalifu ili kuzuia majanga kutokea. Leila Mohammed ana taarifa zaidi. #Museveni #Uganda #bbcswahili #bbcswahilileo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw