- 591 viewsDuration: 2:22Rais William Ruto leo alikutana na viongozi wa nyanjani kutoka kaunti ya Kirinyaga katika ikulu ya Nairobi ambapo aliahidi kuendeleza miradi ya maendeleo katika eneo la mlima Kenya katika juhudi za kuimarisha uungwaji mkono. Rais alisema serikali imewekeza shilingi bilioni 15 kwa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu huku miradi ya mpango huo katika maeneo ya Gichugu na Kianyaga ikiwa tayari imekamilika. Hali kadhalika rais alisema serikali tayari imeweka mikakati ya kuimarisha sekta ya afya katika kaunti hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive