- 19,249 viewsDuration: 2:50Rais William Ruto amemjibu mtangulizi wake rais mstaafu Uhuru Kenyatta, akisema bima mpya ya SHA ni bora kuliko mpango wake wa Linda Mama. Akizungumza katika kaunti ya Kajiado, Rais Ruto alisema kwamba serikali yake haijaondoa mpango huo bali umeboreshwa. Hata hivyo waziri wa afya Aden Duale amemkashifu Kenyatta kwa kuacha deni analodai lilikuwa la kuwapora wakenya, alipoondoka mamlakani