Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto amkabili Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kwa kukiri kuwa SHA ni bora kuliko Linda Mama

  • | Citizen TV
    19,249 views
    Duration: 2:50
    Rais William Ruto amemjibu mtangulizi wake rais mstaafu Uhuru Kenyatta, akisema bima mpya ya SHA ni bora kuliko mpango wake wa Linda Mama. Akizungumza katika kaunti ya Kajiado, Rais Ruto alisema kwamba serikali yake haijaondoa mpango huo bali umeboreshwa. Hata hivyo waziri wa afya Aden Duale amemkashifu Kenyatta kwa kuacha deni analodai lilikuwa la kuwapora wakenya, alipoondoka mamlakani