- 501 viewsDuration: 3:33Kongamano la afya la siku mbili limeanza rasmi katika jumba la mikutano la KICC hapa jijini Nairobi ambapo wadau katika sekta ya afya wamekutana kujadili hatua zilizopigwa katika kuimarisha huduma za afya kote nchini. Rais William Ruto ameongoza kongamano hilo ambalo pia linatazamiwa kutoa suluhisho kuhusu changamoto katika sekta ya afya hapa nchini.