- 848 viewsDuration: 3:16Huanda Masomo katika Vyuo Vikuu na Vyuo Anuwai yakawa bila malipo Iwapo Pendekezo la Serikali litakubaliwa na Bunge la Kitaifa. Haya ni Kwa Mujibu wa Rais William Ruto aliyesema kuwa anatazamia mfumo huo utaanza kufanya kazi mwaka huu. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya