- 2,337 viewsDuration: 1:39Rais William Ruto sasa asema kuwa aliruhusu kujengwa kwa kituo cha karantini ya ebola, katika kambi ya kijeshi ya laikipia, baada ya ombi kutoka kwa rais wa marekani Donald Trump. Akizungumza wakati wa mahojiano na wanahabari wa eneo la kaskazini mwa kenya, rais Ruto aliwakashifu viongozi anaosema kuwa waingiza siasa kwenye masuala hayo