Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto asema serikali italipa karo ya wote watakaojiunga na vyuo

  • | Citizen TV
    2,982 views
    Duration: 1:36
    Rais William Ruto sasa anasema kila mwanafunzi anayepata nafasi ya kujiunga na chuo kikuu au taasisi anuwai atalipiwa karo kikamilifu na serikali. Rais amesema haya ni kati ya mapendekezo yaliyomo katika mageuzi ya ufadhili wa elimu ya juu nchini. Rais Ruto, aliyezungumza Ikulu ya Nairobi leo, amesema mabadiliko hayo yaliyomo kwenye mswada ulio bungeni yanalenga kuhakikisha hakuna mwanafunzi anayekosa kuendelea na elimu ya juu.