- 2,842 viewsDuration: 1:15Rais William Ruto ameendelea kuwasuta viongozi wa upinzani akidai kwamba hawana sera au rekodi za maendeleo za kukabiliana naye kisiasa kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027. Akizungumza katika uwanja wa bukhungu mjini kakamega baada ya kuhudhuria fainali za kipute cha soka cha gavana wa Kakamega Fernandes Barasa, Ruto alionekana kumlenga kinara wa chama cha wiper Kalonzo Musyoka akisema hajawasaidia kwa lolote wananchi wa sehemu ya Ukambani