11 May 2026 1:13 pm | Citizen TV 1,291 views Duration: 50s Rais William Ruto leo ametia saini miswada mitatu kuwa sheria, inayolenga kubadilisha mfumo wa ushuru na biashara nchini.