8 Jul 2026 1:12 pm | Citizen TV 754 views Duration: 2:07 Rais william ruto ametia saini mswada wa hazina ya rasilmali za taifa kuwa sheria katika ikulu ya nairobi. hazina hiyo inatarajiwa kuongeza uwekezaji na kuinua uchumi wa taifa.