1 Jan 2026 4:08 pm | Citizen TV 317 views Duration: 1:46 Rais William Ruto jana usiku alijumuika na maelfu ya wananchi katika uwanja wa sports club katika kaunti ya Uasin Gishu kuulaki mwaka mpya kwa mbwembwe za kipeke.