- 1,177 viewsDuration: 41sRais William Ruto amewasili jijini Evian, Ufaransa, kwa mkutano wa kimataifa wa G7. Rais huyo, ambaye ameungana na viongozi wengine wa dunia, anatarajiwa kushiriki katika mijadala kuhusu changamoto mbalimbali zinazoikumba dunia, ikiwemo migogoro ambayo imeathiri uchumi wa mataifa mengi.