Rais William Ruto ametangaza mpango mkubwa wa mabilioni ya fedha unaolenga kuboresha miundombinu, makazi na mfumo wa elimu jijini Nairobi, akiahidi kulifanya liwe jiji kuu linaloambatana na hadhi yake kama mapito ya Afrika Mashariki. Akiwa katika ziara kwenye eneobunge la Kibra, Rais alitangaza uwekezaji wa shilingi bilioni 80 kwa ujenzi wa barabara, taa za barabarani na kushughulikia taka, pamoja na miradi mikubwa ya makazi na ujenzi wa shule.Alisema hatua hizi ni sehemu ya mpango mpana wa kuifanya Nairobi kuwa ya kisasa na kuboresha maisha ya wakazi wake.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive