- 1,222 viewsDuration: 3:08Rais William Ruto na rais wa ufaransa emmanuel macron wamesisitiza umuhimu wa mataifa ya nje, haswa ulaya, kuwekeza barani afrika kwa kuwa ndilo linalokua kwa kasi. Viongozi hao pia wamesisitiza umuhimu wa afrika kuwekeza katika vijana, elimu ya kisasa na miundombinu hususan kupambana na changamoto ya uhaba wa ajira. Walikuwa wakizungumza katika siku ya kwanza ya kongamano la afrika summit jijini Nairobi.