- 21,868 viewsDuration: 3:01Rais William Ruto na kinara wa DCP Rigathi Gachagua wameendelea kukaidi wito wa kuweka kando siasa za kupakana tope na badala yake viongozi hao wameendelea siasa hizo ambazo sasa zimegeuka pambio. Rais Ruto akiendelea kuwakashifu viongozi wa upinzani kwa kile amekitaja kuwa kukosa ajenda ya kisiasa na kumfanya yeye ajenda yao kila siku.