- 8,707 viewsDuration: 3:41Wito wa kutimuliwa kwa Rais William Ruto unaendelea kushika kasi kufuatia matamshi yake ya hivi karibuni yaliyoibua utata. Makundi ya kijamii pamoja na baadhi ya viongozi wa upinzani wamekosoa vikali matamshi hayo, wakiyataja kuwa yasiyostahili hadhi ya urais, ya kudhalilisha na yanayokaribia mipaka ya chuki, wakisema yanatosha kuwa msingi wa bunge kumuonesha Rais Ruto mlango. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya