Skip to main content
Skip to main content

Arsenal yatwaa ubingwa wa EPL baada ya miaka zaidi ya 20

  • | Citizen TV
    3,414 views
    Baada ya zaidi ya miongo miwili, Arsenal hatimaye imeshinda ubingwa wa Ligi Kuu nchini Uingereza. Hii ni baada ya wapinzani wao wakuu Manchester City kutoka sare ya mabao 1-1 dhidi ya AFC Bournemouth usiku wa Jumanne. Ushindi huo umeibua shamrashamra na sherehe miongoni mwa mashabiki kote duniani, kama anavyotuarifu Luqman Mahmoud.