Skip to main content
Skip to main content

Bei mpya ya mafuta

  • | Citizen TV
    42,673 views
    Duration: 10:06
    Serikali ilipunguza bei ya dizeli kwa shilingi kumi kwa lita huku bei ya mafuta ya taa ikiongezwa kwa shilingi 38.60 lakini bei ya petroli ilisalia kama ilivyo. Petroli itauzwa kwa shilingi 214.25, dizeli ikiuzwa kwa shilingi 232.86 nayo mafuta taa yakiuzwa kw shilingi 191.38 jijini Nairobi.