- 3,089 viewsDuration: 2:08Sherehe ya kumwapisha rais wa uganda Yoweri Museveni kwa awamu ya saba inaendelea katika uwanja wa uhuru wa kalolo jijini Kampala Uganda. Baada ya kushinda uchaguzi mkuu wa januari mwaka huu, Museveni anaongoza taifa hilo kwa zaidi ya miongo minne ambapo muhula huu wa saba utakamilika mwaka wa 2031