Skip to main content
Skip to main content

Rais William Ruto aahidi walimu 50,000 watapandishwa vyeo mwaka huu

  • | Citizen TV
    885 views
    Duration: 1:49
    Rais william ruto amewaahidi walimu kuwa walimu 50,000 watapandishwa vyeo mwaka huu. akizungumza kwenye hafla ya kuadhimisha siku ya kimataifa ya walimu uwanjani kasarani hapa jijini nairobi, kadhalika rais ameahidi kuwa serikali inafanya kila iwezalo kulainisha mfumo wa ufadhili wa elimu ya juu ambao umekumbwa na utata.