Skip to main content
Skip to main content

Rais William Ruto aapa kukomesha ghasia za makundi ya vijana

  • | Citizen TV
    1,482 views
    Duration: 1:50
    Rais William Ruto ameapa kukomesha ghasia zinazoendelezwa na makundi ya vijana akisema kwamba uhalifu huo ni tishio kwa uboreshaji wa uchumi. Akipokea rasmi ripoti ya 'safari ya kuelekea kwenye uchumi wa nchi zilizoendelea', katika ikulu ya Nairobi, Rais Ruto aliagiza vitengo vya usalama kukabiliana vilivyo na magenge ya vijana yanayovamia raia na kuharibu mali kwenye mikutano ya kisiasa.