- 5,352 viewsDuration: 2:18Rais William Ruto ameongoza hafla ya kufuzu kwa makurutu wa Polisi wa Utawala, akisisitiza kuwa ni wajibu wa polisi kulinda sheria na kudumisha utangamano nchini. Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen amesema hakuna kikosi cha polisi kilicho nje ya usimamizi wa Inspekta Mkuu, huku Rais Ruto akisema serikali inaendelea kutekeleza mageuzi ya kuboresha Idara ya Polisi.