Skip to main content
Skip to main content

Rais William Ruto asema ataheshimu matokeo ya uchaguzi mkuu

  • | Citizen TV
    12,155 views
    Duration: 2:43
    Rais William Ruto sasa anasema ataheshimu matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka ujao, akisisitiza kuwa hatapinga maamuzi ya Wakenya. Akizungumza wakati wa hafla ya maombi ya kitaifa iliyofanyika leo, rais Ruto hata hivyo hakuzungumzia suala la msamaha na upatanisho, badala yake akieleza mafanikio ya serikali yake hadi sasa.