Skip to main content
Skip to main content

Rais William Ruto ataja upinzani kama kundi la watu wasio na mwelekeo, dira wala ajenda

  • | NTV Video
    2,451 views
    Duration: 3:15
    Rais William Ruto ameendeleza mashambulizi yake dhidi ya upinzani akihitimisha ziara yake ya Nyanza, huku akitaja upinzani kama kundi la watu wasio na mwelekeo, dira wala ajenda, ambao hawana lolote la manufaa la kuwapa Wakenya isipokuwa chuki, hasira na ukabila Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya