- 978 viewsDuration: 1:21Rais William ruto asema uwekezaji mkubwa katika usalama ni muhimu ikiwa taifa linataka kutimiza ruwaza ya 2060. rais aliyezungumza alipoongoza sherehe ya 46 ya kuhitimu kwa makurutu wa kijeshi huko eldoret kaunti ya uasin gishu ameendelea kuangazia matumaini ya kufauli kwa ajenda baada ya ruwaza ya mwaka 2030. rais akiwataka wanajeshi waliokamilisha mafunzo yao na kujiunga rasmi na jeshi kutekeleza majukumu yao ipasavyo, kwa kuzingatia sheria na katiba. zaidi ya wanajeshi 5,000 wamefuzu leo