- 3,554 viewsDuration: 1:13Rais William Ruto ametoa onyo kwa viongozi wa eneo bunge la Emurua Dikirr kuhusu ghasia zinazojumuisha magenge ya vijana kwenye msimu huu wa kisiasa. Akizungumza baada ya kuzindua soko la kisasa la Mamboleo katika eneo bunge hilo, kaunti ya Narok, Rais alisema kwamba yuko tayari kupambana na wapinzani wake kwenye uchaguzi ujao, huku akipuzilia mbali kauli mbiu ya 'ONE TERM' kutoka kwa upinzani.