- 515 viewsDuration: 1:20Rais William Ruto azindua mpango wa kutoa ajira kwa vijana nchini. Katika hafla iliyoandaliwa ikulu ya Nairobi rais Ruto asema mpango huo wapania kuongeza nafasi za ajira kupitia ushirikiano wa karibu na kampuni za kibinafsi.