- 10,510 viewsDuration: 44s“Nitatekeleza kikamilifu, kwa ukamilifu na kwa haki majukumu makuu ya wadhifa wangu kama Rais wa Jamhuri ya Madagascar,” alisema Randrianirina katika hafla ya kuapishwa katika Mahakama ya Katiba Kuu. - - #bbcswahili #madagascar🇲🇬