Skip to main content
Skip to main content

Rangi za maharusi zaibua gumzo

  • | BBC Swahili
    12,741 views
    Duration: 1:29
    Rangi nyeusi ya ngozi yazua gumzo mtandaoni baada ya video ya harusi kusambaa Rishabh Rajput na Sonali Chouksey, wanandoa kutoka Jabalpur, India, hivi karibuni walifunga ndoa baada ya kuchumbiana kwa miaka 11. Lakini video yao ya harusi iliyoshirikishwa mtandaoni kam ishara ya furaha iligeuka kuwa gumzo la utani baada ya watumiaji mitandaoni kuwakejeli kutokana na rangi yao ya ngozi. Wenzi hao wamezungumza na BBC Hindi kuhusu athari ambayo tukio hilo limewakumba wao na familia zao, na kile wanachopenda kuwaambia waliowadhihaki. - - #bbcswahili #bbcindia #mapenzi #ndoa #Ubaguzi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw